Home SPORTS SIMBA SC, COASTAL UNION ZATOSHANA NGUVU.

SIMBA SC, COASTAL UNION ZATOSHANA NGUVU.

 

Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

KLABU ya Simba Sc leo  imeshindwa kufurukuta mbele ya  Coastal Union kwenye ligi ya NBC.

Simba imelazimishwa sare kwenye mchezo huo ambao ulikuwa mchezo wa aina yake hasa timu zote mbili katika kipindi cha kwanza kucheza kwa kushambuliana japo kwa upande wa Simba walionesha hamu ya kupata ushindi kwenye mchezo huo.

Hata hivyo katika kipindi cha pili Simba ilirudi ikiwa imejipanga kwani walitawala mchezo huo licha ya kutokutumia nafasi nyingii za wazi walizozipata.

Hata hivyo kutokana na kucheza kwa ushindani ambao walionyesha timu zote mbili jambo ambalo lilipelekea timu zote mbili zilipata kadi nyekundu.

Previous articleAbsa Group Appoints Saviour Chibiya as Group Executive: Absa Regional Operations
Next articleRAIS SAMIA AWASILI GLASGOW NCHINI SCOTLAND KUHUDHURIA MKUTANO WA 26
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here