Home LOCAL RC HAPI ASHIRIKI ZOEZI LA KUFANYA USAFI MJINI MUSOMA.

RC HAPI ASHIRIKI ZOEZI LA KUFANYA USAFI MJINI MUSOMA.

Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi (aliyebeba uchafu) na Katika Tawala wa Mkoa huo Albert Msowela (aliyeshika fagio) wakishiriki zoezi la kufanya usafi wa Mazingira katikati ya Mji wa Musoma nje ya lango la soko Kuu ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa wiki ya usafi wa Mazingira Mkoani humo.

Na: Mwandishi wetu, MARA.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi mapema leo asubuhi amewaongoza wananchi wa Mkoa huo na watumishi wa kada tofauti wa halmashauri ya Musoma kwenye zoezi la kufanya usafi katika Stendi ya zamani ya mabasi mjini Musoma, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya Usafi Mkoa wa Mara.

Katika zoezi hilo Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Musoma Mhe. William Patrick Gumbo na Makamu wake, huku wananchi wa mji huo wakionekana kuwa na mwitikio mkubwa kwenye zoezi hilo.
Previous articleMAGAZETI YA LEO J.MOSI SEPTEMBA 4-2021
Next articleTCU YATOA MWENENDO WA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2021/2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here