Joseph Nelson
MZEE KENNETH KAUNDA RAIS WA KWANZA WA ZAMBIA AFARIKI DUNIA.
ZAMBIA. Rais wa kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda amefariki dunia leo akiwa na miaka 97.Kenneth David Kaunda (anafahamika zaidi kama KK).Siku chache...
KILO 88 ZA DAWA ZA KULEVYA ZATELEKEZWA NDANI YA PRADO.
DAR ES SALAAM.Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imefanikiwa kukamata kilo 88.27 za dawa za kulevya aina...
MTENDAJI KATA YA CHELA AWAPONGEZA WACHIMBAJI WADOGO
Na: Cymon Mgendi, KAHAMA. Afisa Mtendaji wa Kata ya Chela Ilyopo Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Evagisla John Amesema kuwa kuwepo...
MADIWANI NAMTUMBO WAONYWA JUU YA MIGOGORO
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma Juma Pandu akifungua kikao cha Baraza la madiwani wa Halmashauri hiyo kilichoketi kujadili...
TIMU YA YANGA YAILAZA RUVU SHOOTING 3-2 DIMBA LA MKAPA.
DAR ES SALAAM. Klabu ya Yanga imefanikiwa kuinyuka Ruvu Shooting kwa mabao 3-2 kwenye uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam ambapo...
BARABARA YA KIBAONI HADI MLOWO KUTENGENEZWA KWA KIWANGO CHA LAMI, WAZIRI...
DODOMA.Serikali imeahidi kuijenga barabara ya kutoka Kibaoni hadi Mlowa yenye jumla ya Kilomita 363 ambayo inaunganisha mikoa ya Rukwa, Katavi na Songwe mara baada...