Joseph Nelson
MAGAZETI YA LEO J.PILI MEI 16-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
LEICESTER CITY YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA FA ENGLAND YAICHAPA 1-0...
LONDON.TIMU ya Leicester City imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea jana Uwanja wa Wembley Jijini London,...
TIMU YA YANGA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO FC RUANGWA.
Na: Mwandishi wetu, LINDI.Timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam imetoka Suluhu ya 0-0 na Timu ya Namungo FC iliyokuwa mwenyeji wa Mchezo...
SIMBA SC YAPOTEZA MCHEZO WAKE WA KWANZA ROBO FAINALI, YAFUNGWA 4-0...
JOHANNESBURGTIMU ya wekundu wa msimbazi Simba SC imepoteza mchezo wake wa ugenini wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika kwa kupokea kipigo cha mabao 4-0...
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ALIVYOHITIMISHA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
KONGAMANO LA URITHI WA UKOMBOZI BARA LA AFRIKA KUFANYIKA TANZANIA
Na: Mwandishi WHUSM, DAR ES SALAAM.Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatarajia kufanya kongamano la siku tatu la ukombozi wa Bara la Afrika...