HUGHES DUGILO
AZAM FC YAICHAPA HORSEED 3-1
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Horseed ya Somalia katika mchezo wa kwanza Raundi ya...
RC SENYAMULE AFUNGUA SHULE BINAFSI YA ROYAL FAMILY GEITA
Paul Zahoro, Geita RS.Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Rosemary Senyamule Septemba 11, 2021 amefanya ufunguzi wa Shule ya Sekondari ya binafsi ya Royal...
KANISA ANGLIKANA TANZANIA DAYOSISI YA TANGA LA ENEZA INJILI KWA VITENDO,...
Na: Maiko Luoga Tanga.Kanisa Anglikana Tanzania Dayosisi ya Tanga linaendelea na ziara ya matembezi ya msalaba kwa miguu kwa lengo la kutangaza injili kwa...
RATIBA YA MAZISHI YA HANS POPPE
Ratiba ya kumpumzisha Zakaria Hans Poppe aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ndani ya timu ya Simba aliyefariki Dunia usiku wa Septemba 10,2021 katika...
WAKULIMA WA TUMBAKU NAMTUMBO WALALAMIKIA TOZO YA ASILIMIA MBILI
Na: Muhidin Amri, Namtumbo.WAKULIMA wa zao la Tumbaku katika wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wamelalamikia makato ya asilimia 2 yaliyofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya...
RAIS SAMIA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UN BI. AMINA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed...

