HUGHES DUGILO
RAIS DK. MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOTELI...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la...
BIASHARA UTD YAONDOLEWA RASMI SHIRIKISHO
Na: Mwandishi wetuSHIRIKISHO la Soka Afrika limeiengua timu ya Biashara United kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kushindwa kutokea uwanjani Jijini Benghazi...
STAMICO YAPONGEZWA KUWAKUMBUKA WACHIMBAJI WADOGO WENYE USIKIVU HAFIFU MBEYA.
Na: Bibiana Ndumbaro, Mbeya.Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limetoa tena mafunzo ya Uchimbaji,Usalama Migodini na Biashara ya Madini kwa wachimbaji wadogo wenye usikivu...
ARUSHA DC YATOA MKOPO WA MILIONI 384 KWA WANAWAKE, BIJANA NA...
Mkuu wa wilaya ya ArumeruMhandishi Richard Ruyango akiongea na vikundi vya wanawake vijana na wenye ulemavu walionufaika na mkopo wa milioni 384. Mkurugenzi wa...