Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi mbalimbali wa Shule za Msingi na Sekondari Muheza Mkoani Tanga wakati wa Uzinduzi wa Usambazaji wa Nishati Safi ya Kupikia leo February 27,2025.