Home BUSINESS DKT. BITEKO ASHIRIKI UFUNGAJI MAONESHO YA MADINI GEITA

DKT. BITEKO ASHIRIKI UFUNGAJI MAONESHO YA MADINI GEITA

GEITA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko hii leo 13.10.2024 ameshiriki katika hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini Mkoani Geita ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akimkaribisha Rais Mhe. Dkt. Samia kuhutubia wananchi, Dkt. Biteko amempongeza kwa kuendelea kuwezesha, kuikuza na kuimarisha sekta ya madini nchini.

“ Wachimbaji wakubwa na wadogo wamekuwa wanatembea daraja la juu kwa sababu ya fursa ulizotoa kwao. Nataka niwaambie wananchi wa Geita na Watanzania kwa ujumla kuwa Mhe. Rais amekuwa akifanya kila jitihada kwa kuwa anataka mnufaike na raslimali zilizopo nchini.” Amesema Dkt. Biteko.

Share this Article
Previous articleRAIS SAMIA SULUHU HASSAN : KIONGOZI ANAYEWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA MAENDELEO YA SEKTA YA MADINI
Next articleRAIS SAMIA AFUNGA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here