
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na Wenyeviti wa Halmashauri za miji na wilaya, kilichofanyika Zanzibar tarehe 29 Novemba 2025.




