
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia ACT Wazalendo, ZItto Kabwe, (kuslia), akimnadi mgombea udiwani wa chama hicho kata ya Kibirizi, Yunus Ruhomvya, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata hiyo, akiomba kura kwa wananchi, kukichagua Chama hicho, kwenye uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025.





