Home LOCAL DUA NA SALA KWA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DUA NA SALA KWA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM By SOSTENETH MAKERO - October 20, 2025 FacebookTwitterTelegramWhatsAppCopy URL Dua na Sala wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipozungumza na Wananchi wa Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani leo October 20,2025.