Home LOCAL WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MZEE MONGELA.

WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MZEE MONGELA.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3, 2025. amehani msiba wa Mzee  Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es salaam.