
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura na Viongozi mbali mbali wakiwa katika sherehe ya kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.