Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Yanga na Simba mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2025.