Home LOCAL DC MALINYI AKWAMA ULANGA, ASAIDIA KUKWAMUA FOLENI

DC MALINYI AKWAMA ULANGA, ASAIDIA KUKWAMUA FOLENI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Sebastian Waryuba (mwenye shati jeupe) akitoa maelekezo ya kukwamua gari lililokwama eneo la Iragua, Ulanga kwa zaidi ya saa tatu kutokana na barabara kuharibika na kusababisha foleni kubwa tarehe 13 Juni 2025, DC Waryuba ni miongoni mwa waliokwama. Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan aliahidi kujenga barabara hiyo ya Lupilo – Malinyi (Kilometa 110) kwa kiwango cha lami.