Home LOCAL WAZIRI MKUU KUZINDUA RASMI MIFUMO YA KIJIDITALI YA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA...

WAZIRI MKUU KUZINDUA RASMI MIFUMO YA KIJIDITALI YA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 23, 2024 atazindua Mifumo ya Kidijitali ya Uwajibikaji na Usimamizi wa Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma iliyosanifiwa na Kujengwa na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma.

Mheshimiwa Waziri Mkuu anamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla hiyo inayofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.

Previous articleMAJALIWA: MIPANGO NA MAAMUZI YA MAENDELEO IZINGATIE MATOKEO YA SENSA
Next articleMATI SUPER BRANDS LIMITED YADHAMINI MASHINDANO YA WEST KILI TOUR CHALLENGE 2024
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here