Home LOCAL WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA ANAYEMALIZA MUDA WAKE

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA ANAYEMALIZA MUDA WAKE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 09, 2024 amefanya mazungumzo na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Balozi Marco Lombardi ambaye amemaliza muda wake, Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Es Salaam.

Katika mazungumzo hayo Waziri Mkuu amesema Tanzania itaendelea kuwa mshirika muhimu na wa kimkakati wa nchi ya Italia.

Kwa upande wake Balozi Lombardi amesema licha ya kumaliza muda wake kama Balozi wa Italia nchini Tanzania, bado ataendelea kuisemea Tanzania na kuwa mhamasishaji wa fursa zilizopo nchini nchini.

Previous articleTANROADS, ZANROADS WAWEKA MPANGO KAZI WA MWAKA 2024/2025.
Next articleTANZANIA INA UMEME WA KUTOSHA KUFANYA SHUGHULI ZA KIUCHUMI- DKT. BITEKO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here