Home LOCAL RAIS SAMIA AKIWASILI JIJINI PRETORIA AFRIKA KUSINI

RAIS SAMIA AKIWASILI JIJINI PRETORIA AFRIKA KUSINI

Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 18 Juni, 2024. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024.

Samia: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Dkt. Grace Naledi Pandor pamoja na Thembi Nkadimeng Waziri wa Utawala na Ushirika na Masuala ya Jadi. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024.

Samia: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 18 Juni, 2024. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024.

Samia: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Watanzania waishio Afrika Kusini mara baada ya kuwasili Pretoria tarehe 18 Juni, 2024. Rais Samia anatarajia kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024

Previous articleBENKI YA TCB YATANGAZA FAIDA YA SH. BILIONI 19.27
Next articleRAIS SAMIA AMTUMIA SALAMU ZA RAMBIRAMBI RC KILIMANJARO, KIFO CHA Dkt. NZUNDA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here