Home LOCAL NCHIMBI ALIVYOINGIA KILIMANJARO KWA KISHINDO

NCHIMBI ALIVYOINGIA KILIMANJARO KWA KISHINDO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, leo Juni 4, 2024, katika Uwanja wa Bomang’ombe, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani humo, ambapo mbali ya umati mkubwa wa wananchi, Balozi Nchimbi na msafara wake, alikaribishwa na Viongozi wa Kimila wa Mkoa wa Kilimanjaro.
     
Previous article SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI 5-2024
Next articleRAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA KOREA NA AFRIKA JIJINI SEOUL KOREA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here