Home LOCAL KATIBU MKUU CCM DKT. NCHIMBI AKITETA JAMBO NA ASKOFU WA KKKT KARAGWE...

KATIBU MKUU CCM DKT. NCHIMBI AKITETA JAMBO NA ASKOFU WA KKKT KARAGWE Dkt. BAGONZA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na kuzungumza jambo na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, baada ya ibada ya kuwekwa wakfu (kukaribishwa kazini) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa kuwa Mkuu Mpya wa KKKT, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni maalum, iliyofanyika Jumapili, Januari 21, 2023, katika Kanisa la Azania Front, jijini Dar Es Salaam.

Previous articleSOMA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARI 22-2024
Next articleMIGODI YA BARRICK TANZANIA KATIKA MWELEKEO WA DARAJA LA KWANZA,IKIWA NA UWEZO WA KUONGEZA UHAI, KUKUZA ZAIDI UZALISHAJI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here