Home LOCAL BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA...

BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA WATU NA BINADAMU

 

Leo tarehe 19 Novemba 2023, nimempokea na kufanya naye mazungumzo Mhe. Jaji Iman Aboud, Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Algiers.

Mhe. Jaji Aboud anaongoza Mkutano wa 71 wa Mahakama hiyo unaofanyika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria kuanzia tarehe 06 Novemba 2023 na unatarajiwa kukamilika tarehe 04 Desemba 2023.

Mkutano huo, utakapokamilika unatarajiwa kutoa hukumu ya mashauri takriban 9 ya kimahakama.

Previous articleASA YAPONGEZWA UPATIKANAJI WA MBEGU BORA ZA KILIMO
Next articleDkt. MWINYI AWAALIKA MABINGWA WA CECAFA U-15 IKULU ZANZIBAR

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here