Home LOCAL RAIS SAMIA AZINDUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA POSTA AFRIKA.

RAIS SAMIA AZINDUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA POSTA AFRIKA.

 – Ni jengo refu kuliko Majengo yote Afrika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan amezindua Rasmi Jengo la Gorofa 17 la Makao makuu ya Umoja wa posta Afrika (PAPU TOWER) lililopo Jijini Arusha ambalo Ujenzi wake umegharimu Zaidi ya Shilingi Bilioni 54.

Jengo Hilo Refu kuliko yote Jijini Arusha linamilikiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kwa Asilimia 40 na Umoja wa posta Afrika wanamiliki Asilimia 60.

Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja

Previous articleTUTAENDELEA KUWAUNGA MKONO WADAU WA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA
Next articleTANZANIA NA AFRIKA KUSINI ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA AFYA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here