Home LOCAL HABARI PICHA: CHONGOLO ATETA NA BALOZI WA CHINA CHEN MINGJIAN LUMUMBA DAR...

HABARI PICHA: CHONGOLO ATETA NA BALOZI WA CHINA CHEN MINGJIAN LUMUMBA DAR ES SALAAM

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa China nchini Balozi Chen Mingjian (kushoto) Ofisini kwa Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiagana na Balozi wa China nchini Balozi Chen Mingjian (kushoto)mara baada ya kumaliza mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.