Home LOCAL WAZIRI JAFO AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

WAZIRI JAFO AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na Watendaji wa Ofisi ya Makamu wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu Dkt. Switbert Mkama kwa ajili ya kupokea taarifa za utekelezaji wa majukumu ya Idara ya Mazingira na Kitengo cha Sheria, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma leo Mei 10, 2023.

Previous articleDKT. NCHEMBA APOKEA RIPOTI ZA SENSA
Next articleMAKONDO AONGOZA TIMU YA UTOAJI MSAADA KISHERIA VIZUIZINI KONDOA NA CHEMBA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here