Home LOCAL SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) JIJINI DODOMA

SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma leo tarehe 22, Mei 2023.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Daniel Chongolo akizungumza jambo katika  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma leo tarehe 22, Mei 2023,Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.

Previous articleMAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 22 , 2023
Next articlePROFESA MKENDA KUFUNGUA MAONESHO YA NANE YA TAFITI NA UBUNIFU UDSM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here