Home Uncategorized RAIS SAMIA AWASILI NCHINI NIGERIA

RAIS SAMIA AWASILI NCHINI NIGERIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023, kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nchi hiyo Mhe. Bola Tinubu, aliyeshinda kiti hicho kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Februari 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea shada la Maua kutoka kwa watoto wa kitanzania wanaoishi nchini Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023, kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nchi hiyo Mhe. Bola Tinubu, aliyeshinda kiti hicho kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Februari 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023, kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nchi hiyo Mhe. Bola Tinubu, aliyeshinda kiti hicho kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Februari 2023.

Previous articleSERIKALI YA ZANZIBAR NA BARA ZITAENDELEA KUSHIRIKIANA SEKTA YA KILIMO – MHE. SEIF
Next articleWANAWAKE WAJAWAZITO ZAIDI YA 2000 WASHIRIKI MBIO ZA MARATHON KOROGWE TANGA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea RAIS SAMIA AWASILI NCHINI NIGERIA