asyabahis.org www.dumanbet.live pinbahiscasino.com www.sekabet.net olabahisgir.com www.maltcasino.net faffbet-giris.com www.asyabahisgo1.com dumanbetyenigiris.com pinbahisgo1.com www.sekabet-giris2.com www.olabahisgo.com www.maltcasino-giris.com www.faffbet.net www.betforward1.org www.betforward.mobi www.1xbet-adres.com www.1xbet4iran.com www.romabet1.com yasbet2.net 1xirani.com www.romabet.top www.3btforward1.com 1xbet https://1xbet-farsi4.com بهترین سایت شرط بندی
Home LOCAL CHONGOLO ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA KA EVENGELIST ASEMBLIES OF GOD...

CHONGOLO ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA KA EVENGELIST ASEMBLIES OF GOD MAFINGA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo leo tarehe 28 Mei, 2023 ameshiriki ibada ya Jumapili katika kanisa la Evangelist Asemblies of god EAGT la Mafinga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa .

Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Chongolo ameongozana pamoja na Wajumbe wawili wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambao ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi Gavu na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema.

Previous articleWANAWAKE WAJAWAZITO ZAIDI YA 2000 WASHIRIKI MBIO ZA MARATHON KOROGWE TANGA
Next articleMAJERUHI 18 WAMERUHUSIWA HOSPITALI YA TEMEKE KUFUATIA AJALI UWANJA WA MKAPA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea CHONGOLO ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA KA EVENGELIST ASEMBLIES OF GOD MAFINGA