Home LOCAL WAZIRI NAPE AFUTURISHA JIMBONI MTAMA

WAZIRI NAPE AFUTURISHA JIMBONI MTAMA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amefuturisha wananchi wa Jimbo la Mtama ikiwa ni sehemu ya kila mwaka kufanya jambo hilo katika kipindi cha Mfungo wa Ramadhan.

Pia Waziri Nape aliungana na Wananchi wa Mtama kuliombea Dua Taifa letu la Tanzania pamoja na kumuombea Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awe na afya njema na aweze kuendelea kuliongoza vema Taifa.

Katika hatua nyingine Waziri Nape ametumia Hafla hiyo kuwakumbusha wakazi hao wa Mtama kujitokeza kwa wingi kuupokea Mwenge wa Uhuru utakaopokelewa Jimboni hapo kesho Tarehe 11 Aprili, 2023.

Previous articleSIMBA YAENDELEZA UBABE KWA IHEFU, YAICHAPA 2-0 KWAO
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 11 – 2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here