Home LOCAL MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA HARRIS AWASILI NCHINI

MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA HARRIS AWASILI NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo tarehe 29 Machi 2023 kuanza ziara nchini Tanzania 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

(Picha Ofisi ya Makamu wa Rais)