Waziri Mkuu, Kassim Mkajaliwa akipata maelezo kutoka kwa Richard Mwangoka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kahawa cha GDM cha Mlowo mkoani Songwe kuhusu uoteshaji miche ya kahawa wakati alipotembelea kiwanda hicho, Februari 14, 2023. Kulia ni Afisa Uhusiano wa kiwanda, Loveness Joshua. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Richard Mwangoka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kahawa cha GDM cha Mlowo mkoani Songwe kuhusu kahawa iliyokoborewa wakati alipotembelea kiwanda hicho, Februari 14, 2023. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)