Bonyeza link kutazama Video 👇👇👇
Wanafunzi wa elimu ya juu wanaosoma katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini Kenya wameungana kumtakia heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Nairobi.
Akizungumza katika hafla hiyo Rais wa wanafunzi wa umoja wa vyuo vyote vikuu vilivyopo Kenya Bw, Saluni Jessy ameongoza wanafunzi wenzake kusoma ujumbe maalum ulioandikwa katika Keki maalum iliyoandaliwa kwaajili ya kumpongeza Rais Samia, sambamba na kucheza muziki.
#mamandiobest
Tazama Video 👇👇👇