Home Uncategorized  MWENYEKITI WA CCM TAIFA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...

 MWENYEKITI WA CCM TAIFA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NDG. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA MKUTANO KUU WA 10 WA CCM KATIKA UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Mkutano wa 10 wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 07 Desemba, 2022.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kuchagua Wajumbe katika ngazi ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye Mkutano wa 10 wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 07 Desemba, 2022.

Baadhi ya Viongozi pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 07 Desemba, 2022.