Home LOCAL MAJALIWA AKAGUA KITUO KIKUU CHA MABASI SUMBAWANGA

MAJALIWA AKAGUA KITUO KIKUU CHA MABASI SUMBAWANGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Sumbawanga wakiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Rukwa, Disemba 16, 2022. Kulia kake ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga.