Home LOCAL BALOZI SIRRO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

BALOZI SIRRO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. Simon Sirro amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Emmerson Mnangagwa, Ikulu Zimbabwe.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Julai 20, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.