Home BUSINESS EWURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA MWEZI NOVEMBA,2022

EWURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA MWEZI NOVEMBA,2022

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini, bezi hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Novemba 02, 2022 saa 6:01 usiku.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Ifuatayo ni orodha ya bei mpya za mafuta kwa mwezi Nomber, 2022.