Home LOCAL UKAME UMESABABISHA KUSHUKA KWA HUDUMA YA MAJI DAR – RC MAKALLA

UKAME UMESABABISHA KUSHUKA KWA HUDUMA YA MAJI DAR – RC MAKALLA

“Kiwango cha uzalishaji maji kwenye mitambo cha Ruvu juu na chini imeshuka kutoka lita milioni 466 hadi lita milion 300 kwa siku, hii ni kutokana na ukame wa muda mrefu uliosababishwa na ukosefu wa mvua za vuli. Hata hivyo ninawapongeza DAWASA kwa jitihada wanazoendelea kuzifanya kuhakikisha kiasi kidogo cha maji kinachopatikana kinasambazwa kwa wananchi”.

Mhe.Amosi Makala
Mkuu wa mkoa Dar es salaam

Previous articleSIMBA QUEEN KUONDOKA KESHO NA MATUMAINI KIBAO
Next articleMAGAZETI YA LEO JUMATANO OKTOBA 26-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here