Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA IJUMAA MASJID JAMIU ZINJIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 16-9-2022,na( kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 16-9-2022.(Picha na Ikulu)
Previous articleTANZANIA IS CONGRATULATED FOR BEING AN ACTIVE MEMBER OF THE AFRICAN UNION
Next articleMAAFISA AFYA SINGIDA WAPONGEZWA KWA KUTEKELEZA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here