Home LOCAL BALOZI MULAMULA AIFARIJI FAMILIA YA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI

BALOZI MULAMULA AIFARIJI FAMILIA YA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akitoa mkono wa pole kwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb.) ametoa pole kwa Familia ya Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi kufuatia kifo cha mtoto wake Hassan Ali Hassan kilichotokea tarehe 31 Agosti, 2022 katika Hospitali Kuu ya Mnazi mmoja, Zanzibar.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akitoa mkono wa pole kwa familia ya Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipoitembelea familia hiyo kwenye makazi yake Jijini Dar es Salaam.

Previous articleNEC YAIPA MAELEKEZO SERIKALI JUU YA TOZO
Next articleSERIKALI YAPOKEA BILIONI 13.2 KUTOKA GTZ ZA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIFU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here