Home BUSINESS SABASABA KUMENOGA

SABASABA KUMENOGA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Wadau mbalimbali wanaotembelea mabanda ya  Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), katika maonesho ya 46 ya kimataifa ya Biashara wameendelea kupata huduma za urasimishaji wa biashara papo kwa papo na kupata vyeti  vya Usajili.  Wadau wanahimizwa kufika na kutumia fursa hii kurasimisha biashara zao. BRELA watakuwepo katika maonesho hayo mpaka tarehe 13 Julai, 2022.