Home BUSINESS BRELA YAUPIGA MWINGI MAONESHO YA SABASABA

BRELA YAUPIGA MWINGI MAONESHO YA SABASABA

. Maofisa mbalimbali wa Wakala wa Usajiri wa Majina ya Biashara na Leseni BRELA wakiendelea na usajili wa makampuni pamoja na kuhuisha katika viwanja wa Sabasaba ambako Maonesho ya Biashara ya 46 ya Kimataifa TANTRADE yanaendelea mpaka Julai 13,2022.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!


Afisa Leseni wa BRELA Robert Mashika (katikati) akimudumia mteja aliyefika katika Banda lao kwaajili ya kupata huduma ya kuuhisha taarifa zake katika Maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam.