Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb.) akisisitiza jambo mbele ya Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Chen Mingjian wakati wawili hao walipokutana kwa mazungumzo yanayolenga kujenga uwezo wa ukuzaji TEHAMA nchini; Mkutano huo ulifanyika Jumatano tarehe 15 Juni, 2022 jijini Dar es salaam.


