Home SPORTS YANGA, SIMBA MIKONONI MWA ARAJIGA

YANGA, SIMBA MIKONONI MWA ARAJIGA

Na: mwandishi wetu.

WAAMUZI wa mchezo wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba tayari wamewekwa wazi leo.

Ni Ahmed Arajiga kutoka Manyara atakuwa mwamuzi wa kati kuweza kusimamia sheria 17 za mchezo huo.

Pia Mwamuzi msaidizi atakuwa Frank Komba na mwamuzi msaidizi namba 2 ni Mohamed Mkono huku yule wa akiba akiwa ni Elly Sasii wakati mtathimini waamuzi atakuwa Victor Mwandike.

Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imemtaja Keneth Pesambili kuwa kamishna wa mchezo huo.

Kwa upande wa Ofisa Habari wa mchezo huo atakuwa ni Clifford Ndimbo.

Previous articleCCM YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUTWAA TUZO YA BABACAR NDIAYE KUTOKA (AFDB)
Next articleSERIKALI YA TANZANIA YAKUBALIANA NA GAVI KUFIKIKISHA CHANJO KWA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO AMBAO HAWAJAFIKIWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here