Home SPORTS SIMBA SC YAMTUPIA VIRAGO PABLO

SIMBA SC YAMTUPIA VIRAGO PABLO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na: mwandishi wetu.

KLABU ya Simba imeachana na kocha wake, Mspaniola Pablo Franco Martin baada ya makubaliano ya pande zote mbili na kuelekea mechi zilizobaki kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara timu itakuwa chini ya kocha Msaidizi, Suleiman Matola.

Pamoja na Pablo aliyejiunga na timu hiyo Novemba mwaka jana, Simba pia imeachana na kocha wa mazoezi ya viungo Daniel De Castro Reyes ambaye pia ni Mspaniola.