Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGA SEMINA YA WABUNGE WA CCM JIJINI DODOMA

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGA SEMINA YA WABUNGE WA CCM JIJINI DODOMA

   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akifunga Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma 

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM , Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM (CAUCUS) akizungumza katika Semina Ya Wa Bunge wa Bunge la Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).liyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma ,

  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Komred Abdulrahman Kinana akizungumza (wakati wa uwasilishaji wa mada) katika Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma liyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Sekretariet ya Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Daniel Chongolo (wa kwanza kushoto) wakifuatilia Semina hiyo ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma 

Sehemu ya Wajumbe wa Semina hiyo

Previous articleSANAA YA MAIGIZO YATUMIKA KAMPENI UTOAJI ELIMU AFYA YA UZAZI BAGAMOYO
Next articleBARRICK KUENDELEA KUTEKELEZA SERA YA USHIRIKISHWAJI WATANZANIA KATIKA MNYORORO WA UCHUMI WA MADINI (LOCAL CONTENT)
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here