Home LOCAL JENGO LA HUDUMA ZA DHARURA TABORA LAKAMILIKA NA KUANZA KUTUMIKA JUMATATU

JENGO LA HUDUMA ZA DHARURA TABORA LAKAMILIKA NA KUANZA KUTUMIKA JUMATATU

Tabora.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof.Abel Makubi leo ametembelea utekelezaji wa ujenzi wa jengo la huduma za dharura na wagonjwa mahututi katika hospitali ya rufaa ya Kitete-Tabora ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 100 na umegharimu kiasi cha shilingi milioni 604.

Prof.Makubi amesema kuwa jengo hilo la huduma za dharura litakua na vitanda 28 na litakua na uwezo wa kuwahuduma wagonjwa wengi wa dharura wa ajali mara moja kwa mpigo.

#AfyaKwanza
#JaliAfyaYako
Previous articleUPIMAJI WA AFYA UNAENDELEA MKOANI KIGOMA
Next articleANZANIA YAKUBALIANA NA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA KUUNDA MFUKO WA KUKABILIANA NA WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIFU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here