Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA BENKI YA...

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AFDB) DKT. AKINUMWI ADESINA IKULU, CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino leo tarehe 09 Februari, 2022.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino leo tarehe 09 Februari, 2022.
Previous articleRAIS SAMIA SULUHU AMUAPISHA MHE. ANGELINE MABULA KUWA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
Next articleYANGA YAFUNGUA TAWI MILONDE TUNDURU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here