Home LOCAL MHE. UMMY NDERIANANGA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA...

MHE. UMMY NDERIANANGA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA KUSINI UNGUJA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu, Mhe. ummy Nderiananga amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,Mhe.Rashid Hadidi Rashid leo Januari 6, 2022 jijini Zanzibar.Lengo la ziara hiyo ni kujionea utekelezaji wa shughuli za watu wenye ulemavu mkoani hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Previous articleKUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI YA LEO JANUARI 6-2022
Next articleCOSTECH YAWAKUTANISHA WATAFITI JIJINI DODOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here