Home Uncategorized MWANAMITINDO KENNY KAISER ATWAA TUZO BANTU FASHION WEEK

MWANAMITINDO KENNY KAISER ATWAA TUZO BANTU FASHION WEEK

NA: MWANDISHI WETU

Mwanamitindo chipukizi Kenny Abraham ‘Kenny_ kaiser75’, amewashukuru wadau wa mitindo na mashabiki zake kwa kumpigia kura zilizofanya  kuwa mshindi wa Mwanamitindo bora chipukizi wa mwaka huu.

Tuzo hizo zimetolew a mwishoni mwa wiki iliyopita katika tamasha la mavazi la Bantu lilifanyika Morogoro eneo la Mto Mawe.

Akizungumza na waandishi wa habari amesema anashukuru wadau kwa kumuona  tuzo hiyo ni hatua kubwa kwake katika tasnia ya mitindo.

“Nimepata moyo wa kuongeza bidii katika tasnia ya mitindo nimeingia kwa muda mfupi ila wadau wameona nastahili kupata tuzo hii nawashukuru na ahidi kufanya vizuri zaidi ya hapa,” anasema

Alitoa wito kwa wanamitindo wenzake kujituma zaidi kuifanya kazi yao kua ajira kama zilivyo zengine kwa kua tasnia ya mitindo inakua kwa kasi hususa nchin kwetu Tanzania.

 

Previous articleSIMBA IKO IMARA KUNYAKUA POINTI 3 DHIDI YA KMC KESHO
Next articleNIC WAZINDUA PROMOSHENI YA “JIKAVE NA NIC”
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here