Home SPORTS MATOLA AZUNGUMZIA UKOSEFU WA UMAKINI KWA WASHAMBULIAJI WAKE

MATOLA AZUNGUMZIA UKOSEFU WA UMAKINI KWA WASHAMBULIAJI WAKE

 

Na: Stella Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

KOCHA msaidizi Seleman Matola amesema katika mchezo wa jana dhidi ya Coastal Union washambuliaji wa kikosi chake walikosa umakini wa kutumia nafasi walizipata.

Matola amesema kama Nahodha John Bocco  na Kibu Denis wangeongeza umakini kidogo wangeweza kupata mabao lkn ndio mpira na wanarudi kufanyia mazoezi katika mapungufu yaliyotokea.

Amesema kuwa mbali hilo timu nyingi zinazokutana na simba zinacheza kwa nguvu kubwa kama fainali na kisababisha wachezji wa kikosi chake kuumia na kushindwa kuendelea na mchezo.

“Kilichotokea ni sehemu ya mpira tumepata alama moja tunarudi kujipanga kwa ajili ya mchezo ujao nakubali tulikosa umakini katika kumalizia nafasi tulizotengeneza hata hivyo ukiangalia katika mechi zetu Wapinzani wanatumia  nguvu nyingi na kuwaumiza wachezaji na ndio maana kadi nyekundu zinatoka”  amesema.

Previous articleHIKI NDICHO KIKOSI CHA STARS DHIDI YA CONGO, MADAGASCAR.
Next articleMAJALIWA: WATANZANIA WANATAMANI TIMU ZAO ZIFANYE VIZURI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here