Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 20 Oktoba, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU